UCHANGANUZI | Nani kumrithi Abdulrahman Kinana CCM?
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-01-16
Просмотров: 2625
Описание:
Mnamo mwaka 2024 Julai 29, Rais Samia Suluhu Hasani aliridhia ombi la aliyekuwa makamu mwenyekiti Abdulrahman Kinana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kujiuzulu ambapo sasa mrithi wake kujulikana 18 na 19 mwaka 2025 katika mkutano mkuu wa chama hicho utakaofanyika Dodoma.
Swali ni je nani hatakuwa mrithi wake?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: