SOKA KIJIWENI | Lusajo Mwaikenda afunguka alichoambiwa na Morrison mechi ya Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-02-16
Просмотров: 5715
Описание:
Beki wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda amebainisha maneno aliyoambiwa na nyota wa Yanga SC, Bernard Morrison baada ya Mghana huyo kumkanya kwenye mechi yao katika dimba la Benjamin Mkapa.
Katika mchezo huo wa NBC Premier League, Morrison alionekana kumkanyaga Lusajo katika dakika ya 72 ya mechi na baada wawili hao kukutana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: