UTALIA!Mjane ALIEFIWA NA MUMEWE AELEZA UGUMU WA MAISHA ANALALA NA WATOTO WAKE WAKUBWA WA KIUME
Автор: Families Media
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 1068
Описание:
#Huyu ni mama anayefahamika kwa jina la Zena Ramadhani.
Mama Zena anapitia misukosuko na mitihani mingi sana maishani. Anasimulia kuwa kwa sasa ndiye mama na pia ndiye baba kwa watoto wake watano, ambao wote wanamtegemea kwa kila jambo.
Tangu mumewe kutangulia mbele za haki, mama Zena ameendelea kupambana katika mazingira magumu, akijitahidi kuhakikisha watoto wake wanapata mahitaji ya msingi licha ya changamoto zinazomkabili.
Kupitia familia media, mama huyu anafungua moyo wake na kueleza mengi kuhusu safari yake ya maisha, mateso anayoyapitia na matumaini anayoshikilia kila siku.
Ungana nasi mwanzo hadi mwisho ili kufahamu kwa undani hadithi yake iliyojaa majonzi, uvumilivu na ujasiri.
Kwa yeyote anayetaka kutoa msaada, anaweza kuwasiliana kupitia:
Namba: 0717 665 868
Jina: Zena Ramadhani Mohamed
Mkazi: Morogoro
#news #extraordinarystories #harmonize #zuchu #duet #africa #habesha #automobile #rip #yangasc #simbasc
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: