LORI la MAFUTA LAWAKA MOTO MLIMA SEKENKE - LASABABISHA FOLENI NDEFU - DC MWENDA AFIKA KUSHUHUDIA....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-05-12
Просмотров: 14847
Описание:
LORI la MAFUTA LAWAKA MOTO MLIMA SEKENKE - LASABABISHA FOLENI NDEFU - DC MWENDA AFIKA KUSHUHUDIA....
Roli la Mafuta lenye namba za Usajili T 851 APZ limeteketea Kwa moto katikati ya Mlima wa Sekenke, mkoani Singida na kusababisja foleni kubwa ya magari yanayofanya safari zake kati ya Singida na Mkoa wa Tabora kupitia Igunga kukwama kwa zaidi ya nusu saa, kufuatia Roli hilo kugonga Kingo za Mlima huo na kushika moto.
Akizungumza katika eneo la tukio hilo Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Selemani Mwenda amesema hakuna madhara yoyote yaliyotokea Kwa binadamu na jitihada za kuwasiliana na Jeshi la Zimamoto Wilayani Igunga zimefanyika ili kurejesha mawasiliano ya barabara baina ya mikoa hiyo miwili.
DC Mwenda alifika katika eneo hilo muda mfupi baada ya ajali hiyo kutokea akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ally Hapi wakati wakiwa njiaji kuelekea mkoani Tabora kuhitimisha ziara ya Hapi ya Mikoa minne .
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: