ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Pd Kamugisha Awasili DSM/Vicheko vyatawala Parokia ya Kilongawima/Karama aliyo nayo siyo ya kawaida.

Автор: Breez Online Tv

Загружено: 2021-11-04

Просмотров: 43698

Описание: Tarehe 01 November 2021 Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu katoliki la Dar Es Salaam Mhasham Henry Mchamungu Aliongoza Ibada ya Uzinduzi wa Wiki mbili za Neema katika Parokia ya Mtakatifu kizito Kilongawima Mbezi Jijini Dar Es salaam Ambapo alimpongeza Paroko wa Parokia hiyo Padre Mukandala kwa maandalizi mazuri ya kuwalisha neno la Mungu waamini wa Parokia yake kwa kuwakusanya zaidi ya Mapadre 15 kutoka majimbo mbalimbali ya Tanzania ambao ndio watakaotoa Mafunzo kwa waamini hao.

Semina hiyo ya wiki mbili za Neema imeanza kurindima tarehe 02/11/2021 katika viwanja vya Parokia hiyo na Miongoni mwa Mapadre ambao wamekuwa wa kwanza kabisa kutoa mafundisho ni Padre Novatus Mbaula kutoka Msimbazi Centre Dar es salaam huku akifuatiwa na Padre Faustine Kamugisha kutoka Parokia ya Minziro jimbo katoliki la Bukoba.

Waamini wengi waliofika katika Siku ya kwanza ya mafundisho hayo wengi wao wameonekana kujawa na Tabasamu mwanana mara baada ya Wakufunzi hao kuwalisha Chakula cha kiroho huku wengi wao wakieleza kuwa, ni wazi wale ambao hawajashiriki wanakosa mengi ikiwemo faraja ya kweli ambayo inawarudisha katika imani dhabiti pamoja na kuimarika zaidi ndani ya Ubatizo wao.

pata nafasi ya kutazama video hii na kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatilia Mubashara.
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #Kilongawima
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: [email protected]

Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link:   / breez-online.  .
Instagram:Breez Online Tv

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Pd Kamugisha Awasili DSM/Vicheko vyatawala Parokia ya Kilongawima/Karama aliyo nayo siyo ya kawaida.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WAUMINI WABAKI HOI KANISANI/PADRE KAMUGISHA AKITOA MAFUNDISHO YA NDOA/SHUHUDIA ALICHOKIFANYA

WAUMINI WABAKI HOI KANISANI/PADRE KAMUGISHA AKITOA MAFUNDISHO YA NDOA/SHUHUDIA ALICHOKIFANYA

HISTORIA YA CARDINAL PENGO/AFUNGUKA  MAZITO/'NIMESHAJIANDALIA KABURI/NASHANGAA MPAKA SASA NIKO HAI''

HISTORIA YA CARDINAL PENGO/AFUNGUKA MAZITO/'NIMESHAJIANDALIA KABURI/NASHANGAA MPAKA SASA NIKO HAI''

#LIVE: Misa Takatifu ya Asubuhi Jumamosi 21/02/2026 |St. Peter Osyterbay-DSM, Jimbo Kuu la DSM

#LIVE: Misa Takatifu ya Asubuhi Jumamosi 21/02/2026 |St. Peter Osyterbay-DSM, Jimbo Kuu la DSM

🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 20, 2026- SERIKALI YATAHADHARISHA VUMBI LINALOSABABISHA SILIKOSISI

🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 20, 2026- SERIKALI YATAHADHARISHA VUMBI LINALOSABABISHA SILIKOSISI

Padre Dkt Kamugisha''Palipo na neema pana msalaba/licha kuwa na macho lakini hatuoni

Padre Dkt Kamugisha''Palipo na neema pana msalaba/licha kuwa na macho lakini hatuoni

Как печально, что кардиналу Пенго пришлось произнести эти слова перед смертью. Он не знал, что вс...

Как печально, что кардиналу Пенго пришлось произнести эти слова перед смертью. Он не знал, что вс...

Hiki Kichwa cha Padre Kamugisha ni Moto wa kuotea Mbali/Watu Waliokata Tamaa watajirika Ghafla/tizam

Hiki Kichwa cha Padre Kamugisha ni Moto wa kuotea Mbali/Watu Waliokata Tamaa watajirika Ghafla/tizam

Kicheko Chahamia Dar Pd Dkt KamugishaAwapa Siri na Mbinu Wanawake Wakatoliki/mtego kwa wanaume ni hu

Kicheko Chahamia Dar Pd Dkt KamugishaAwapa Siri na Mbinu Wanawake Wakatoliki/mtego kwa wanaume ni hu

Padre Kamugisha: Uliyemsaidia ndiye anakugeuka/ Mwenye chuki haoni.

Padre Kamugisha: Uliyemsaidia ndiye anakugeuka/ Mwenye chuki haoni.

HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA

HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

Taarifa Njema; Humphrey Pole Pole Apatikana alipo na akiwa hai; Samia mashakani sasa kwa utekaji

# LIVE || MISA TAKATATIFU HITIMISHO KONGAMANO SINODI YA KWANZA VIKARIETI YA HAI-JIMBO KATOLIKI M0SHI

# LIVE || MISA TAKATATIFU HITIMISHO KONGAMANO SINODI YA KWANZA VIKARIETI YA HAI-JIMBO KATOLIKI M0SHI

Shuhudia mbwembwe za Pd Kamugisha/aweka mambo Hadharani/ajibu sababu Mungu kutojibu maombi ya watu..

Shuhudia mbwembwe za Pd Kamugisha/aweka mambo Hadharani/ajibu sababu Mungu kutojibu maombi ya watu..

HATUPOTEI | REV. DR. ELIONA KIMARO

HATUPOTEI | REV. DR. ELIONA KIMARO

MZEE MASATU|VIONGOZI ACHENI UOGA NA VISINGIZIO ANDAENI TIMU YANGA TUNAMFUNGA|YANGA IKO JUU YA SHERIA

MZEE MASATU|VIONGOZI ACHENI UOGA NA VISINGIZIO ANDAENI TIMU YANGA TUNAMFUNGA|YANGA IKO JUU YA SHERIA

FAROUK KIBET: Why Ruto KICKED HIM out of State House | Gachagua Explains |Plug Tv Kenya

FAROUK KIBET: Why Ruto KICKED HIM out of State House | Gachagua Explains |Plug Tv Kenya

Padre Dkt Kamugisha: Usiogope mabaya/ Kila kitu kina sababu yake/ Ukitafuta makosa haufanyi mambo

Padre Dkt Kamugisha: Usiogope mabaya/ Kila kitu kina sababu yake/ Ukitafuta makosa haufanyi mambo

Padre Kamugisha: Usipendezeshe kila mtu we si pesa/Ukweli ukiuzika utafufuka/ Usiogope kusemwa

Padre Kamugisha: Usipendezeshe kila mtu we si pesa/Ukweli ukiuzika utafufuka/ Usiogope kusemwa

LIVE: MAFUNDISHO YA FAMILIA NA NDOA

LIVE: MAFUNDISHO YA FAMILIA NA NDOA "PASTOR DANIEL MGOGO

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

EPISODE 31: SHAHIDI AFANDE ABANWA HADI KIJASHO KACHANGANYIKIWA HADI KAOMBA MSAADA KWA MAJAJI! MMH

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]