Mbunge Bashungwa 'Muda haukutosha kuelezea kauli ya Wanaume kushindwa kuoa wanawake wazuri'
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-05-28
Просмотров: 12603
Описание:
Moja ya stori zilizo make headlines kwenye mitandao ya kijamii kutokea Bungeni Dodoma wiki hii ni ni pamoja na hii ya Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa aliyesimama kuchangia bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii, ishu kubwa ikawa ni kwanini Wanaume wengi jimboni kwake hawaoi Wanawake wazuri?
Mapokeo ya baadhi ya watu yakawa tofauti na kupelekea wengine kumkosoa kwa kauli hiyo, AYO TV iemempata Bashungwa na kufanya naye exclusive Interview
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: