ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HISTORIA YAANDIKWA JIJI LA DAR/WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA MIL. 19

Автор: Muungwana Tv

Загружено: 2024-04-20

Просмотров: 1165

Описание: Mstahiki Meya wa halmashauri ya jiji la Dar es salaam Mhe. Omary Kumbilamoto leo Aprili 20, 2024 amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya 200 wa ngazi ya jamii vyenye thamani ya shilingi milioni 19,000,000/=.

Akizungumza wakati wa kukabidhi Meya Kumbilamoto amesema vitendea kazi hivyo vinaenda kuimairisha utendaji kazi wa wahudumu hao ambao wanaisaidia serikali na jamii kwa kutoa huduma za afya kwa ngazi ya jamii ikizingatiwa walikua wanafanya kazi kwenye mazira ambayo sio rafiki hususani kwenye mitaa na kata.

"Tunamshukuru Rais Samia kwanza kwa kuanza kuwalipa posho japo mlianza kwa kujitolea, pili sisi kama jiji tumeona tuwaunge mkono kutokana na kazi kubwa mnayofanya na jambo hili linaenda kuweka historia, hakuna halmashauri yoyote nchini iliyofanya hivi hivyo sisi tutakuwa alama ya kwanza kuwathamini ninyi wahudumu wa ngazi ya jamii" amesema Meya Kumbilamoto

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Jiji hilo Dkt. Zaitun Hamza amesema wahudumu wote wa ngazi ya jamii kwenye halmashauri hiyo kila mmoja atapatiwa koti la Mvua, kipaza Sauti, gumboot pamoja na kofia kwa ajili ya kuwarahisishia kazi pindi wanapotekeleza majukumu yao kwenye mitaa na kata.

"Tunasema hakuna kufanya kazi kinyonge Mhe. Rais ametuheshimisha CHW mnakumbuka miezi iliyopita alisema ataenda kuhakikisha wahudumu wa afya ngazi ya jamii wanaenda kuwa na amana, furaha kwa kwenda rasmi kuajiliwa na Tanzania inakua ya mfano na hii sisi kwetu ni faraja kubwa sana" ameongeza Dkt. Zaitun

Naye Mwenyekiti wa kamati ya Huduma za Jamii kwenye jiji hilo Mhe. Saad Khimji amesema kutokana na ubora wa kazi mnazozifanya kwenye mitaa na kata zetu mnastahihili kupata vitendea kazi hivi na mtaendelea kupata vingi zaidi ya hivi kwani mnanusuru mambo mengi kwenye mitaa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HISTORIA YAANDIKWA JIJI LA DAR/WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA MIL. 19

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SERIKALI YATOA  VITENDEA KAZI KWA WATOA HUDUMA WA AFYA NGAZI YA JAMII

SERIKALI YATOA VITENDEA KAZI KWA WATOA HUDUMA WA AFYA NGAZI YA JAMII

JAMII KUCHAGUA WAHUDUMU WAO WA AFYA NGAZI YA JAMII PWANI

JAMII KUCHAGUA WAHUDUMU WAO WA AFYA NGAZI YA JAMII PWANI

BARAZA KUU CUF WATOA TAMKO KUTENGULIWA KWA PROF LIPUMBA/UCHAGUZI KESHO FOMU KUANZA KUCHUKULIWA LEO

BARAZA KUU CUF WATOA TAMKO KUTENGULIWA KWA PROF LIPUMBA/UCHAGUZI KESHO FOMU KUANZA KUCHUKULIWA LEO

MFUMO WA HRHIS WA USAJILI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII - OR TAMISEMI - 04

MFUMO WA HRHIS WA USAJILI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII - OR TAMISEMI - 04

HII HAPA TAARIFA KUHUSU MALIPO YA WAFANYAKAXI WA AFYA NGAZI YA JAMII CHW

HII HAPA TAARIFA KUHUSU MALIPO YA WAFANYAKAXI WA AFYA NGAZI YA JAMII CHW

DC KOMBA AAGIZA WATOA HUDUMA YA AFYA NGAZI YA JAMII WAPEWE MOTISHA NA SERIKALI

DC KOMBA AAGIZA WATOA HUDUMA YA AFYA NGAZI YA JAMII WAPEWE MOTISHA NA SERIKALI

WAZIRI WA AFYA AWAONYA MATAPELI WATAKAOTAKA KUHARIBU MPANGO WA USALAMA WA AFYA KWA WANANCHI

WAZIRI WA AFYA AWAONYA MATAPELI WATAKAOTAKA KUHARIBU MPANGO WA USALAMA WA AFYA KWA WANANCHI

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Waziri Ummy Mwalimu azindua mpango wa huduma ya Afya Ngazi ya Jamii | Dar24 Media

Waziri Ummy Mwalimu azindua mpango wa huduma ya Afya Ngazi ya Jamii | Dar24 Media

SERIKALI YATARAJIA KUWA NA WATOA HUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ZAIDI YA 30,000

SERIKALI YATARAJIA KUWA NA WATOA HUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ZAIDI YA 30,000

Wizara ya Afya kuanzisha Huduma za afya Ngazi ya Jamii 25, january 2024

Wizara ya Afya kuanzisha Huduma za afya Ngazi ya Jamii 25, january 2024

Клычков подарил Путину зубра: символ возрождения Орловщины

Клычков подарил Путину зубра: символ возрождения Орловщины

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

NAMNA MHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ALIVYOTINGA KUTOA ELIMU YA AFYA NYUMBANI

NAMNA MHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ALIVYOTINGA KUTOA ELIMU YA AFYA NYUMBANI

СПЕЦНАЗОВСКАЯ ВДОВА — ОХОТА НА “КРОТА”, КОТОРЫЙ УБРАЛ ЕЁ МУЖА 🔥 | РУССКИЙ ШПИОНСКИЙ БОЕВИК 2026

СПЕЦНАЗОВСКАЯ ВДОВА — ОХОТА НА “КРОТА”, КОТОРЫЙ УБРАЛ ЕЁ МУЖА 🔥 | РУССКИЙ ШПИОНСКИЙ БОЕВИК 2026

YAS KUFANYA KAZI NA SOKO LA HISA DAR ES SALAAM DSE.

YAS KUFANYA KAZI NA SOKO LA HISA DAR ES SALAAM DSE.

🔴#liveTAZAMA!Bugando yatoa mafunzo kwa wahudumu wa afya  ngazi ya jamii Mdomo sungura unarekebishika

🔴#liveTAZAMA!Bugando yatoa mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii Mdomo sungura unarekebishika

ВПЕЧАТЛЯЮЩЕ! Toyota Представляет Своё Новое Поколение 2026 И ПОТРЯСАЕТ Рынок

ВПЕЧАТЛЯЮЩЕ! Toyota Представляет Своё Новое Поколение 2026 И ПОТРЯСАЕТ Рынок

📺🔴# LIVE : VIPI TUTAISHI NA QUR'AN NDANI YA RAMADHAN || SHEIKH ABU HAMZA pt2 || RAMADHAN 2026/1447AH

📺🔴# LIVE : VIPI TUTAISHI NA QUR'AN NDANI YA RAMADHAN || SHEIKH ABU HAMZA pt2 || RAMADHAN 2026/1447AH

ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60! Доктор Мясников

ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60! Доктор Мясников

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]