Marehemu Yohana Ng’eno kuzikwa Ijumaa nyumbani kwake Mogondo Narok
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 38
Описание: Kamati inayoshughulikia mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Emurua Dikirr Yohana Ng’eno aliyefariki pamoja na watu wengine watano katika jail ya ndege eneo la Mosop kaunti ya Nandi, atazikwa nyumbani kwake Mogondo kaunti ya Narok siku ya Ijumaa. Viongozi mbalimbali wa kisiasa wakiongozwa na Rais William Ruto leo hii wamefika nyumbani kwake katika mtaa wa Karen kuifariki familia yake na kumuomboleza kiongozi huyo ambaye ametajwa kuwa mkakamavu na aliyejitolea kupigania haki za wenyeji aliowawakilisha. Mary Kyallo anatuarifu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: