ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

COMRADE KAWAIDA APOKELEWA KWA SHANGWE TANGANYIKA| AFUATILIA AHADI YA RAIS DKT SAMIA

Автор: HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

Загружено: 2025-06-13

Просмотров: 5457

Описание: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi- CCM Taifa, Ndg Comrade Mohamed Ali Kawaida, amefanya ziara ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani hapa.

Miradi iliyotembelewa na Comrade Kawaida aliyeambatana na Uongozi wa CCM Mkoa, Wilaya na Kata ya Kasekese, alitembelea ujenzi wa Barabara ya kiwango cha Lami kutoka Kagwila, Karema-Ikola yenye urefu wa 130km, kwa gharama ya Shilingi Bilioni 112.

Pia alipata fursa ya kutembelea mradi wa vijana wa ghala la kutunza na kuuza mazao, pamoja na mashine ya kukobolea mpunga, amapo kikundi hicho kilipatiwa mkopo wa 10% wa mapato ya ndani wenye thamani ya Shilingi Milioni 61 kutoka Halmashauri.

“Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameniagiza nikifika Katavi,nifike hapa Kasekese kwa mambo mawili, moja kuwapa salam zake, na pili kuangalia utekelezaji wa mradi huu wa Barabara ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa alipofanya ziara mkoani humu, nimeridhishwa na kasi ya ujenzi” Comrade Kawaida.

“Niwapongeze Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa kuendelea kutoa mikopo ya 10% kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Nimeambiwa hapa kikundi hiki kimepatiwa Mil 61, sio rahisi kwa sababu nimetembelea Halmashauri nyingine nimekuta wanapewa Milion moja au mbili, kwa pesa hiyo unafanya biashara gani?”

Ziara hiyo ni ya siku moja ambapo imehitimishwa kwa Mwenyekiti wa UVCCM kuzungumza na vijana pamoja na wananchi wa Kata ya Kasekese na Wilaya ya Tanganyika kwa ujumla, na kuwaeleza mambo makubwa yanayofanya na Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Dkr Samia Suluhu Hassan.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
COMRADE KAWAIDA APOKELEWA KWA SHANGWE TANGANYIKA| AFUATILIA AHADI YA RAIS DKT SAMIA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIMENUKA SELASINI BILA UOGA AISHUKIA TUME YA MACHAFUKO OKTOBA 29/AWAKAANGA MACHAWA NA SAKATA LA B2.

KIMENUKA SELASINI BILA UOGA AISHUKIA TUME YA MACHAFUKO OKTOBA 29/AWAKAANGA MACHAWA NA SAKATA LA B2.

Кремль нанёс удар по войскам РФ / Глава спецслужбы устранён

Кремль нанёс удар по войскам РФ / Глава спецслужбы устранён

RESCUING BIG JOE

RESCUING BIG JOE

DC BUSWELU ATEMBELEA KAYA 36 WAHANGA WA MAFURIKO IKOLA, ATOA MSAADA NA MAELEKEZO MAZITO

DC BUSWELU ATEMBELEA KAYA 36 WAHANGA WA MAFURIKO IKOLA, ATOA MSAADA NA MAELEKEZO MAZITO

BALAA, SELASINI AFUNGUKA UKUBWA WA CHADEMA AWAONYA WATAWALA ''HUWEZI KUFANYA MARIDHIANO BILA CHADEMA

BALAA, SELASINI AFUNGUKA UKUBWA WA CHADEMA AWAONYA WATAWALA ''HUWEZI KUFANYA MARIDHIANO BILA CHADEMA

WALAZIMIKA KUSAFIRI KUTOKA ZANZIBAR MPAKA TANGANYIKA KUJIFUNZA MAMBO HAYA, WATOA USHUHUDA.

WALAZIMIKA KUSAFIRI KUTOKA ZANZIBAR MPAKA TANGANYIKA KUJIFUNZA MAMBO HAYA, WATOA USHUHUDA.

Jak Mike Tyson rozbijał ringowych kolosów

Jak Mike Tyson rozbijał ringowych kolosów

TUNDU LISSU AMVAA JAJI, KAMA UMETOA MAAMUZI HAYO  SI SAWA KABISA

TUNDU LISSU AMVAA JAJI, KAMA UMETOA MAAMUZI HAYO SI SAWA KABISA

SERIKALI YACHOCHEA KILIMO TANGANYIKA, DC BUSWELU AONGOZA MAKABIDHIANO YA ZANA.

SERIKALI YACHOCHEA KILIMO TANGANYIKA, DC BUSWELU AONGOZA MAKABIDHIANO YA ZANA.

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI na MWEKA HAZINA, WAJICHANGANYA FEDHA za SERIKALI

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI na MWEKA HAZINA, WAJICHANGANYA FEDHA za SERIKALI

Investissements au Burundi : Aliko Dangote rencontre le President Evariste Ndayishimiye

Investissements au Burundi : Aliko Dangote rencontre le President Evariste Ndayishimiye

MSUKUMA TENA! 'Ahoji' UBOVU wa KIINGEREZA cha Mbunge wa UPINZANI!

MSUKUMA TENA! 'Ahoji' UBOVU wa KIINGEREZA cha Mbunge wa UPINZANI!

KIMEUMANA: JESCA MAGUFULI APATA UTEUZI BUNGENI, SPIKA ZUNGU AMCHANA

KIMEUMANA: JESCA MAGUFULI APATA UTEUZI BUNGENI, SPIKA ZUNGU AMCHANA "USINIANGALIE ANGALIA MBELE"

【Закон Греха】Тюремный хулиган задел не того — проснулся настоящий хозяин тюрьмы!

【Закон Греха】Тюремный хулиган задел не того — проснулся настоящий хозяин тюрьмы!

CHŁOPAK Z LESZNA Z OPASKĄ KAPITANA BARCELONY STRZELA GOLA MALLORCE NA CAMP NOU

CHŁOPAK Z LESZNA Z OPASKĄ KAPITANA BARCELONY STRZELA GOLA MALLORCE NA CAMP NOU

Что президент Самия впервые сказала президенту Мусевени после выборов

Что президент Самия впервые сказала президенту Мусевени после выборов

HII NDIYO HOSPITALI YA WILAYA YA TANGANYIKA, RAIS SAMIA AMWAGA VIFAA.

HII NDIYO HOSPITALI YA WILAYA YA TANGANYIKA, RAIS SAMIA AMWAGA VIFAA.

Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha

Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha

🔴#live_RAIS WA MAWAKILI EA KUTOKA KENYA ATOA TAMKO ZITO BAADA YA KESI YA LISSU MAHAKAMANI UMEONA?

🔴#live_RAIS WA MAWAKILI EA KUTOKA KENYA ATOA TAMKO ZITO BAADA YA KESI YA LISSU MAHAKAMANI UMEONA?

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]