HUTATOKA KITUPU (THE POWER OF EMPTINESS) / REV. DR. ELIONA KIMARO
Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Загружено: 2025-11-24
Просмотров: 9539
Описание:
KARIBU KUFUATILIA MAHUBIRI YA SIKU YA LEO 23 NOV 2025
NENO KUU:
NA KILA ALITENDALO LITAFANIKIWA
Zaburi 1:3
3 Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.
MADA:
"HUTATOKA KITUPU"
(THE POWER OF EMPTINESS)
Mwanzo 31 : 42
Kutoka 3 : 21
Mwanzo 1 : 2
Mwanzo 31 : 42
42 Kama Mungu wa baba yangu, Mungu wa Ibrahimu na Hofu ya Isaka, hangalikuwa pamoja nami, hakika sasa ungalinifukuza mikono mitupu. Mateso yangu na kazi za mikono yangu Mungu ameziona, akakukemea usiku huu.
Kutoka 3 : 21
21 Nami nitawapa watu hao kufadhiliwa mbele ya Wamisri; hata itakuwa, hapo mtakapokwenda zenu hamtakwenda kitupu;
Mwanzo 1 : 2
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
HOJA ZA KIFALSAFA NA KITHEOLOJIA:
1. IFAHAMU NGUVU YA UTUPU ILIKUWEPO KABLA YA KUUBWA KWA DUNIA.
MUNGU ALIPOIJIA DUNIA ALIPAMBANA NA NGUVU TATU
■UKIWA (FORMLESS)
■UTUPU(EMPTINESS)
■GIZA (DARKNESS)
HIZI NI NGUVU TATU ZA ASILI AMBAZO ZILIKUWEPO KABLA YA UUMBAJI NA NICHANGAMOTO KTK MAISHA YAKO.
2. VIPI KUHUSU MAISHA YAKO UNA NGUVU YA UZALISHAJI NA KILA ULITENDALO LINAFANIKIWA?
NGUVU HII YA UTUPU (EMPTINESS) KTK MAISHA YAKO YA KAWAIDA UNAWEZA KUIELEZEAJE?
KIMSINGI KUNA WATU WENGI SANA WANATESWA NA UTUPU.......
SHIDA KUBWA NI EMPTINESS KTK MAISHA YA WATU WENGI.
3. SADAKA INA NGUVU YA KUONDOA UTUPU KTK MAISHA YA WATU KIVIZAZI
Mwanzo15:14
14 Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali mengi.
HII NDIYO MAANA YA SIKUU YA MAVUNO;
NI ADHIMISHO TAKATIFU LA MAVUNO KTK MAISHA YETU.
NI IBADA YA KUONDOA UTUPU KTK MAISHA YETU.
"......HUTAONDOKA KITUPU"
" YOU SHALL NOT GO EMPTY"
KILA ULIFANYALO LITAFANIKIWA!!!
JANI LAKO HALITANYAUKA!!!
Mhubiri: Rev.Dr.Eliona Kimaro.
Kwa maoni na ushauri:
Smu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: