TANZANIA NA KENYA WAJADILI ZUIO LA MAHINDI MIPAKANI
Автор: Azam TV
Загружено: 2021-03-09
Просмотров: 5774
Описание:
Msemaji mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema Serikali ya Tanzania na Kenya zinaendelea na mazungumzo ili kufahamu kiini cha kuzuiwa shehena ya mahindi kutoka Tanzania kuingia Kenya yakiwa kwenye magari Namanga Arusha pamoja na Holili na Tarakea Kilimanjaro mpakani mwa Tanzania na Kenya lakini katika maeneo mengine ya mpakani ukiwemo mpaka wa Horohoro Tanga hakuna zuio hilo.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: