KENYA YAZUIA MAHINDI KUTOKA TANZANIA KUINGIA NCHINI KWAO, BASHE AKASIRISHWA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-03-07
Просмотров: 83774
Описание:
Baada ya kusambaa kwa taarifa za kuzuiliwa kwa Mahindi ya Tanzania kuingia nchi ya Kenya, Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefika katika mpaka wa Tanzania na Kenya uliopo Namanga Arusha kushuhudia hali halisi
Mbali na kuwapa matumaini wafanyabiashara na wasafirishaji wa Maindi ambao magari yao yamezuiliwa amewa hakikishia kuwa serikali kupitia wizara ya Kilimo inalifuatilia kwa haraka na kuhakikisha changamoto hiyo inatatuliwa kwani mpaka sasa Serikali ya Tanzania haijapata taarifa rasmi kutoka Serikali ya Kenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: