MKUTANO WA INJILI, Shambarai, MANYARA | By Prophetess Glory Mmbaga.
Автор: Upatanisho International Church
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 108
Описание:
Huu ni mkutano wa injili uliofanyika kata ya SHAMBARAI na Nabii Glory Mmbaga, ikiwa ni mara ya kwanza kwenda huko kuihubiri injili ya Bwana Yesu.
Kwa kweli haikuwa rahisi lakini kwa mkono wa Bwana, ishara, maajabu na miujiza vilitendeka. Wengi walifunguliwa na kuwekwa huru, wagonjwa waliponywa, watoto walifunguliwa, watu waliwekwa huru kiroho mbali na kuonewa, na kwa hakika hata wengine waliokoka katika mkutano huo uliofanyika ndani ya siku 7.
Karibu sana kwenye huduma hii ya kinabii, ambapo Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kukuhudumia wewe mtu wa Mungu.
Amen 🙏🙏
Here at Upatanisho International Church, we spreading the word of God to all people of all religions and tribes all over across the world.
=======================================
Follow us on:👇
Facebook: Upatanisho international church
Instagram: Upatanishochurchtz
Twitter (X): Upatanishointernationalchurch
TikTok: upatanisho international church
Threads: Upatanishochurchtz
YouTube: upatanisho international church
WhatsApp channel: Upatanisho International church ministry
WhatsApp No: 0752050787
Call: 0752050787/ 0756 971 172/ 0755836964/ 0757205201
Subscribe our YouTube Channel.
⚠️ Like, comment, share and subscribe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: