MGOMBEA URAIS CCK AAHIDI KUBORESHA SEKTA YA UCHUMI, ATAJA BIMA YA AFYA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-09-07
Просмотров: 433
Описание:
Mgombea Urais kupitia chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amezindua kampeni zake katika Jiji la Dodoma, ambapo amesema endapo atachaguliwa, katika kiti hicho serikali yake itagharamia gharama zote za matibabu kwa kila raia, italipa mishahara wafanyakazi wa nyumbani pamoja na kutoa huduma mbalimbali zitakazowezesha wananchi wa hali ya chini kujikwamua kiuchumi.
✍@rajjmsangi
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: