UMUHIMU WA SIKU YA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE DUNIANI
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 34
Описание:
Hakimu Mkazi Mwandamizi Mahakama ya watoto Temeke Orupa Mtae amesema siku ya majaji na mahakimu wanawake duniani inatoa motisha na kuongeza thamani kwao ambapo wanapokutana hubadilisha mawazo na kuongeza mtandao wa wanawake katika tasnia hiyo ambayo wanawake ni wachache nchini.
Mtae amesema hayo katika #MorningExpress akizungumzia siku ya majaji na mahakimu wanawake dunia ambayo huadhimisha kila march 10.
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: