ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TANGA: WAZIRI JAFO: SERIKALI KUJENGA VIWANDA VIPYA 9,048

Автор: Tanga Tanzania TV

Загружено: 2025-08-21

Просмотров: 224

Описание: SERIKALI inakusudia kujengwa viwanda vipya 9,048 vitakavyotoa ajira zaidi ya milioni 6.5 ifikapo 2030.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt Selemani Jafo, ameyasema hayo jana Agosti 20, 2025, alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Chama cha Maafisa Biashara Wanawake Tanzania (TAWTO), unaofanyika mkoani Tanga.

Amesema ujenzi wa viwanda hivyo ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa kupitia sekta hiyo muhimu kwa ukuzaji wa teknolojia, uzalishaji na ajira.

Mhe Dkt Jafo amesema dhamira ya Serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji nchini, na kuongeza uzalishaji wa viwandani.

Kwa mujibu wa Jafo, Serikali imejipanga kuhakikisha mazingira ya uwekezaji yanaboreshwa na viwanda vipya vinaanzishwa kwenye maeneo mbalimbali, ili kuongeza ajira na kukuza uchumi wa nchi.

Aidha, Mhe Dkt Jafo amesema Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inatatua changamoto zinazowakabili Maafisa Biashara nchini, ikiwemo uhaba wa vitendea kazi.

Alisisitiza kuwa kundi hilo halipaswi kubezwa, kwani linachangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya uchumi wa nchi.

“Ni lazima tuwape thamani stahiki Maafisa Biashara. Hawa si ‘spare tyre’ (tairi ya ziada) bali ni sehemu muhimu ya maendeleo ya uchumi wetu,” akasema.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dkt Batilda Burian, amesema pamoja na changamoto za kiuchumi zilizowahi kusababisha kufungwa kwa baadhi ya viwanda mkoani humo, juhudi za kuvifufua zimeanza kuzaa matunda.

Mhe Balozi Dkt Batilda, amesema Tanga imejipanga kuanzisha viwanda vipya vikiwemo vya magari ya wagonjwa na vya kusindika samaki.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa TAWTO, Elizabeth Swagi, alisema chama hicho kitaendelea kuwawezesha wajasiriamali wadogo kwa kuwapatia elimu ya sheria, miongozo na taratibu za biashara ili washiriki ipasavyo katika uchumi wa taifa.

Mkutano Mkuu wa Nne wa Chama cha Maafisa Biashara Wanawake Tanzania (TAWTO) una kaulimbiu mbiu inayosema, “Mwanamke Mpambanaji ni Nguzo ya Maendeleo ,Tushiriki Vyema Uchaguzi Oktoba.”

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TANGA: WAZIRI JAFO: SERIKALI KUJENGA VIWANDA VIPYA 9,048

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAAJABU MAKUBWA YA JIJI LA TANGA/ INAONGOZA KWA VIWANDA VYA MADINI UJENZI

MAAJABU MAKUBWA YA JIJI LA TANGA/ INAONGOZA KWA VIWANDA VYA MADINI UJENZI

WAZIRI JAFO -

WAZIRI JAFO - "TANZANIA INANUFAIKA na BIASHARA za NDANI na NJE - MAUZO YAONGEZEKA kwa KASI"...

UKAGUZI UJENZI WA MADARAJA|RC CHALAMILA MGUU KWA MGUU.

UKAGUZI UJENZI WA MADARAJA|RC CHALAMILA MGUU KWA MGUU.

🔴#Live: RAIS TRUMP ANAPOKEA MIILI ya WANAJESHI wa MAREKANI WALIOUAWA KWA MAKOMBORA ya IRAN....

🔴#Live: RAIS TRUMP ANAPOKEA MIILI ya WANAJESHI wa MAREKANI WALIOUAWA KWA MAKOMBORA ya IRAN....

WAZIRI ASHANGAZWA NA UKUBWA KIWANDA CHA MAGARI CHA ZAIDI BILIONI 57, KIMEAJIRI 150 KIGAMBONI

WAZIRI ASHANGAZWA NA UKUBWA KIWANDA CHA MAGARI CHA ZAIDI BILIONI 57, KIMEAJIRI 150 KIGAMBONI

Sababu tatu za viwanda kudorora Tanga,  wananchi wakataa dhana ya uvivu

Sababu tatu za viwanda kudorora Tanga, wananchi wakataa dhana ya uvivu

RC BATILDA AFANYA ZIARA YA KUKUZA MAENDELEO YA VIWANDA TANGA

RC BATILDA AFANYA ZIARA YA KUKUZA MAENDELEO YA VIWANDA TANGA

ARUSHA;UGOMVI MKUBWA WAIBUKA MTU NA SHEMEJI YAKE WAKIGOMBANIA MALI ZA MAREHEMU/

ARUSHA;UGOMVI MKUBWA WAIBUKA MTU NA SHEMEJI YAKE WAKIGOMBANIA MALI ZA MAREHEMU/"NATAKA HAKI YANGU"

RC CHALAMILA ATANGAZA NEEMA KUBWA KUJENGWA KWA FLY OVER HAIJAWAI TOKEA/JOPO LA WATAALAMU KUANZA KAZI

RC CHALAMILA ATANGAZA NEEMA KUBWA KUJENGWA KWA FLY OVER HAIJAWAI TOKEA/JOPO LA WATAALAMU KUANZA KAZI

Waziri Bashungwa alivyotemmbelea Viwanda Tanga

Waziri Bashungwa alivyotemmbelea Viwanda Tanga

SIRI YA KUMILIKI KIWANDA KWA MTAJI WA KUANZIA MILIONI SITA

SIRI YA KUMILIKI KIWANDA KWA MTAJI WA KUANZIA MILIONI SITA

MRADI MKUBWA WA GESI TANGA KUCHOCHEA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

MRADI MKUBWA WA GESI TANGA KUCHOCHEA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

#TBC1: WEKEZA TANZANIA: SHUHUDIA KONGANI MPYA  YA VIWANDA 202 ILIYOPO MLANDIZI

#TBC1: WEKEZA TANZANIA: SHUHUDIA KONGANI MPYA YA VIWANDA 202 ILIYOPO MLANDIZI

KIWANDA CHA CHUMVI CHENYE UWEZO WA KUZALISHA TANI 5 HADI 8 KWA SAA HIKIHAPA MKOANI TANGA

KIWANDA CHA CHUMVI CHENYE UWEZO WA KUZALISHA TANI 5 HADI 8 KWA SAA HIKIHAPA MKOANI TANGA

#live:MAPOKEZI YA MZEE WASIRA TANGA UWANJA WA NDEGE KUJENGWA TANGA.

#live:MAPOKEZI YA MZEE WASIRA TANGA UWANJA WA NDEGE KUJENGWA TANGA.

ГУДКОВ: ЗАГРОЗА ЯДЕРНОГО УДАРУ! Ердоган ЛЮТУЄ.Туреччина ВВОДИТЬ ВІЙСЬКА.Іран ОГОЛОСИВ ВІЙНУ БРИТАНІЇ

ГУДКОВ: ЗАГРОЗА ЯДЕРНОГО УДАРУ! Ердоган ЛЮТУЄ.Туреччина ВВОДИТЬ ВІЙСЬКА.Іран ОГОЛОСИВ ВІЙНУ БРИТАНІЇ

Kamanda Muliro Aulizwa Maswali Mazito: Utekaji, Polisi na Kura Bandia, No Reform, No Election....

Kamanda Muliro Aulizwa Maswali Mazito: Utekaji, Polisi na Kura Bandia, No Reform, No Election....

"KWA MOYO WAKO HUJUI WANAOTEKA?" MBATIA AMBANA MULIRO MATUKIO YA UTEKAJI NCHINI, YEYE AJIBU HAYA

ALLY KAMWE ANATOA TAMKO ZITO WAIANDIKIA BARUA BODI YA LIGI KISA BAO SIMBA, MWALIMU ALITAKIWA MECHI 5

ALLY KAMWE ANATOA TAMKO ZITO WAIANDIKIA BARUA BODI YA LIGI KISA BAO SIMBA, MWALIMU ALITAKIWA MECHI 5

EMOTIONAL INTELLIGENCE NA DKT. GARVIN KWEKA

EMOTIONAL INTELLIGENCE NA DKT. GARVIN KWEKA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]