JINSI JPM Alivyomwagia SIFA Mbunge wa NANYAMBA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-04-03
Просмотров: 16218
Описание:
JPM Alivyomwagia SIFA Mbunge wa NANYAMBA
Rais jpm amewataka wananchi wa mkoa wa mtwara Wilayani Nanyamba kufanya kazi kwa bidii ili kuweza kuzitumia vizuri barabara zinazoendelea kutengenezwa na serikali ya awamu ya tano mkoani humo.
Rais magufuli ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya nanyamba mkoani humo katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi kwa siku tatu mkoani humo.
Aidha rais magufuli amesema kuwa serikali imeamua kupanua bandari pamoja na uwanja wa ndege wa mtwara kwaajili ya kuupanua mkoa huo kuwa na maendeleo yakibiashara, huku akitoa kasoro mbalimbali zinazoendelea kujitokea katika vyama vya ushirika mkoani humo.
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website:www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: