‘Ndoto imezima’ rapper aliyeshoot video ya mwisho na Godzilla asimulia kifo chake kilivyomuathiri
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2019-02-17
Просмотров: 14164
Описание:
Kwa Erick Kisege aka Canivo, 2019 ulikuwa mwaka wake wa maajabu na wenye matumaini ya kufika sehemu katika ndoto yake ya kuwa rapper mwenye jina Tanzania.
Pamoja na kuwa msanii chipukizi mitaa ya Salasala aliyetokea Iringa kuja Dar kukomaa na muziki, marehemu Godzilla alijitolea kushiriki kwenye kazi yake ‘Saka Mapesa’ bila kumlipa chochote na alimuahidi kumsaidia ifike sehemu. Hii ndio ilikuwa video ya mwisho kwa Godzilla, na ya kwanza kubwa kwa Canivo.
Wakati wakipanga mikakati ya kuiachia, kifo kimemchukua King Zilla na kumwacha Canivo njia panda, hajui ni nani mwingine atakayemshika mkono..
Bofya link hapo chini kuitazama video hiyo:
• Canivo ft Godzila _ Saka Mapesa _ Offic...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: