Mlipuko wa Ugonjwa wa macho wa Conjunctivitis
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2024-01-26
Просмотров: 5528
Описание:
Ugonjwa wa macho unaojulikana kama Conjunctivitis, ama jicho jekund umeripotiwa katika baadhi ya maeneo Afrika Mashariki ikiwemo Dar es Salaam Tanzania, Mombasa na Kwale katika Pwani ya Kenya.
Wengi wa wale wanaougua ugonjwa huu wanakuta macho yao yakiwa mekundu, na yakitoa machozi pamoja na uchafu, huku wagonjwa wengi pia wakilalamikia kuumwa na kichwa.
Sasa ugonjwa huu unaambukiza vipi? Na unapaswa kufanya nini ili kujizuia usikupate? Huyu hapa Isabella Mwagodi na majibu ya maswali hayo...
#bbcswahili #tanzania #kenya
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: