Global TV Kenya: Uhuru Amwonya Raila Hata Akishinda Urais, Hana Wabunge wa Kutosha
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-09-11
Просмотров: 68735
Описание:
SUBSCRIBE NOW / uwazi1
Rais Uhuru Kenyatta sasa ametishia kutumia ubabe wa Jubilee katika bunge la kitaifa kumng’atua mamlakani Raila Odinga, iwapo Odinga atachaguliwa katika marudio ya uchaguzi wa urais mwezi ujao.
Akizungumza baada ya kufanya kikao cha viongozi wa jamii ya wakamba hapa katika Ikulu ya Rais hapa jijini, Kenyatta amesema Odinga hana nafasi ya kuongoza Kenya kwani hana idadi ya kutosha ya viongozi bungeni, hivyo basi marudio ya uchaguzi huo wa urais ni kupoteza muda na fedha za wakenya.
Hata hivyo, Seneta wa Bungoma na Kinara wa NASA Moses Wetangula, amesema sheria ni bayana kuhusu sababu za kumng'atua rais.
/ uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: