Global Tv Kenya: Hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta Aliyoitoa Baada ya Matokeo Kufutwa
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-09-02
Просмотров: 15144
Описание:
SUBSCRIBE NOW / uwazi1
Global Tv Kenya: Hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta, “Tuko tayari kwa uchanguzi tena.” Uhuru Kenyata amesema yuko tayari kwa uchaguzi tena na ametaka siku ya uchaguzi itangazwe haraka.
Kuhusu malalamiko ya kubadilisha tume ya uchaguzi, ameonya kuwa, jambo hilo haliwezekani kwa sababu tume ya ‘ABC’ ndiyo ambayo ipo katika katiba na lazima wafuate utawala wa sheria.
Akifafanua kwa kujiamini amesema hategemei kuingia madarakani kwa mlango wa nyuma.
Tazama video hii kushuhudia mengi zaidi aliyozungumza Uhuru Kenyatta.
Like, Comment na Share kwa wengine...
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: