Madai Bandari ya Bagamoyo Kuuzwa Kwa Mwekezaji wa Saud Arabia Serikali Yatoa Neno, "Sio Kweli"
Автор: The Chanzo
Загружено: 2025-02-14
Просмотров: 35980
Описание: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Kitila Mkumbo ametoa taarifa ya Serikali kufuatia kuenea kwa habari juu ya eneo maalum la kiuchumi la Bagamoyo linalohusu bandari kuwa limeuzwa kwa Mwekezaji kutoka Falme za Kiarabu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: