ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NG' OMBE WA MAZIWA ALIVYOBADILISHA MAISHA YA EZEKIEL KUPITIA MRADI WA SOS ARUSHA

Автор: Makutano TV

Загружено: 2025-07-22

Просмотров: 818

Описание: HALMASHAURI YA KARATU

Shirika la SOS linatekeleza miradi mingi ya kijamii.

Na ili kuendelea kupanua wigo zaidi wa kuzifikia jamii nyingi katika maeneo tofauti tofauti katika Mkoa wa Arusha mradi wa Arusha re innovation unatekelezwa. Kata tisa Halmashauri ya Wilaya Karatu zimefikiwa na ukombozi huu.

Ng’ombe wa maziwa wamebadili maisha ya Ezekiel, hapa anafunguka kuhusu maisha yake kabla na baada ya ujio wa mradi

Kwenye hii kaya ya Ezekiel si ufugaji tu na kilimo kinaendelea.
Bwana Ezekiel anakiri kwamba maisha yake yamebadilika, ulinzi na usalama na afya kwa familia yake pia ni hakika.

Aidha wakazi wa Halmashauri hii ya Karatu wameeleza zaidi namna miradi ya uwezeshwaji ya SOS ilivyo inua uchumi imara kupitia vikundi na ndani ya familia.
Mradi huu upo kimkakati, na moja ya mkakati wa mradi ni kuendeleza ndoto za vijana, hapa Arusha, Kikundi hiki cha ukombozi kimeweka mkakati wa kuvuka malengo katika usafirishaji wa guta, je malengo hayo yabafikiwa?

Wengine wanufaika wa Arusha Re innovation ni Rose Tesha na Michael ambaye ni dereva wa bodaboda.

Mradi huu unao Wasaidizi wa familia ambazo zimewezeshwa na SOS, nah ii itasaidia uendelevu wa matokeo baada ya mradi kuisha, kwenye Kata 9 za Karatu wasaidizi hawa wanapongeza jitihada hizi.

MWISHO

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NG' OMBE WA MAZIWA ALIVYOBADILISHA MAISHA YA EZEKIEL KUPITIA MRADI WA SOS ARUSHA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WANANCHI IPOGOLO “C” WAOMBA MABORESHO KITUO CHA KIJAMII CHA MALEZI MCHANA

WANANCHI IPOGOLO “C” WAOMBA MABORESHO KITUO CHA KIJAMII CHA MALEZI MCHANA

MAPINDUZI MAKUBWA YA MRADI WA ARUSHA RE INNOVATION | Vijana na Watoto  900+ Wafaidika - SOS

MAPINDUZI MAKUBWA YA MRADI WA ARUSHA RE INNOVATION | Vijana na Watoto 900+ Wafaidika - SOS

Ташиев үн катты, Байсалов ажырымды түшүндүрдү - Би-Би-Си жаңылыктары 11.02.2026

Ташиев үн катты, Байсалов ажырымды түшүндүрдү - Би-Би-Си жаңылыктары 11.02.2026

ЧЕЧНЯ! Живу один день в селе с ЧЕЧЕНЦАМИ! Как устроен БЫТ? Национальная КУХНЯ: Чепалгаш, Галушки

ЧЕЧНЯ! Живу один день в селе с ЧЕЧЕНЦАМИ! Как устроен БЫТ? Национальная КУХНЯ: Чепалгаш, Галушки

Diverse Food System: un sistema alimentare diversificato e sostenibile in Tanzania

Diverse Food System: un sistema alimentare diversificato e sostenibile in Tanzania

SOS KUSAIDIA KUBORESHA MAZINGIRA NA USALAMA KWA MAMA MWENYE WATOTO 9 MUFINDI

SOS KUSAIDIA KUBORESHA MAZINGIRA NA USALAMA KWA MAMA MWENYE WATOTO 9 MUFINDI

Inside the White Bull Horn Leather Factory (Full Process) How Million-Dollar Goods are made

Inside the White Bull Horn Leather Factory (Full Process) How Million-Dollar Goods are made

Vlog# 75. Провокацияга алдырбай, акыл-эс жыйнап, адекватуу ойлонолу, Орозонун алдында

Vlog# 75. Провокацияга алдырбай, акыл-эс жыйнап, адекватуу ойлонолу, Орозонун алдында

WANAUME 200+ NA VIKUNDI 20+ KUFIKIWA NA ELIMU YA LISHE   IRINGA -MC

WANAUME 200+ NA VIKUNDI 20+ KUFIKIWA NA ELIMU YA LISHE IRINGA -MC

KIPERA SHULE YA MSINGI  KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

KIPERA SHULE YA MSINGI KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

LDS REDEEM Project Impact Documentary

LDS REDEEM Project Impact Documentary

MHITIMU WA DARASA LA SABA ALIVYOGEUZA UWANJA WAKE KUWA KITUO CHA MALEZI YA WATOTO

MHITIMU WA DARASA LA SABA ALIVYOGEUZA UWANJA WAKE KUWA KITUO CHA MALEZI YA WATOTO

Ташиевдин коопсуздугу камсыздалабы? Саясий кырдаалды курчуткандар камакка алынды

Ташиевдин коопсуздугу камсыздалабы? Саясий кырдаалды курчуткандар камакка алынды

VIJANA 1,651 WAPATA ELIMU AFUA ZA AFYA YA UZAZI, STADI ZA MAISHA NA UCHUMI ENDELEVU

VIJANA 1,651 WAPATA ELIMU AFUA ZA AFYA YA UZAZI, STADI ZA MAISHA NA UCHUMI ENDELEVU

Skorpion - polski samolot szturmowy ktory przerazil caly swiat i umarl na biurku!

Skorpion - polski samolot szturmowy ktory przerazil caly swiat i umarl na biurku!

From Energy Access to Economic Impact: AMDA Members in Action

From Energy Access to Economic Impact: AMDA Members in Action

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI MRADI WA WE CARE KWA  MALENGO  100%

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI MRADI WA WE CARE KWA MALENGO 100%

JAK ZBUDOWAĆ DOMEK na WODZIE w Minecraft 🌊

JAK ZBUDOWAĆ DOMEK na WODZIE w Minecraft 🌊

GISURU MEDICAL MISSION

GISURU MEDICAL MISSION

From jobless youth to thriving agripreneur

From jobless youth to thriving agripreneur

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]