#Tazama
Автор: Toka zamani Tv
Загружено: 2022-12-30
Просмотров: 1020
Описание:
#habaritanzania #shule#madaba#Wananchi wa kijiji cha kipingo kilichopo halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wameishukuru serikali kupitia mbunge wa jimbo la Madaba Dr Joseph Kizito Mhagama kwa kuwapelekea shule ya sekondari ambayo ujenzi wake umekamilika na ifikapo tarehee 9/1/2023 wanafunzi wataanza kidato cha kwanza kwenye shule hiyo ambayo imepewa jina la shule ya sekondari ya Dr Joseph Kizito Mhagama na kukamilika kwa shule hiyo wananchi wamesema sasa watoto wao watapata unafuu wa kuwa karibu na shule awali walikuwa wanatembea umbali mrefu kwenda kufwata elimu huku wakikumbwa na changamoto nyingi wakiwa njiani.PATA habari mbalimbali za michezo na burudani bila kusahau makala za kijamii pamoja na vivutio mbalimbali vya utalii kupitia katika channel hii pendwa ya TOKAZAMANI TV.
FACEBOOK: / tokazamanitvtz INSTAGRAM: / tokazamanitv YOUTUBE: / tokazamanitv SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: