Uteuzi wa Dkt Bashiru Ally CCM na joto la usajili VPL vyapamba kurasa za magazeti ya leo
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-05-29
Просмотров: 680
Описание: Magazeti ya leo yanaendelea kujikita katika mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo mhadhiri wa sayansi ya siasa, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amepokea kijiti cha ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama kutoka kwa Abdulrahman Kinana. Kwenye kurasa za michezo, joto la usajili lapanda.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: