JINSI ya kupika SAMAKI Sangara wabichi na kupata mchuzi MZITO na MTAMU | PIKA NA BABYSKY (New)
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2020-01-24
Просмотров: 126295
Описание: Kama wanawake wengi walivyo, Babysky hupenda sana kupika. Kwa muda mrefu amekuwa akitamani kuonesha mapishi yake hapa SnS na mwaka huu ameamua kuanza rasmi kwa kuja na show yake, #PikanaBabysky. Kwenye sehemu hii, anaonesha namna ya kupika samaki wabichi aina ya Sangara ili kupata mchuzi mzito na mtamu na kuifanya familia yako ifurahie chakula.. Fuatana naye
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: