MKUU JOKATE MWEGELO AGAWA MISHAHARA YAKE NA POSHO KWA WALIMU / KISA MATOKEO YA FORM FOUR
Автор: Kimeza Production
Загружено: 2025-01-29
Просмотров: 1534
Описание:
Uongozi wa shule ya sekondari ya wasichana ya JOKATE MWEGELO iliyopo Kijiji cha Muhaga kata ya Kibuta Kisarawe Pwani umewapongeza walimu pamoja na wasimamizi wa idara mbalimbali shuleni hapo kufuatia matokeo wanafunzi wa shule hiyo ikiwa ni matokeo ya kwanza ya kidato cha nne tangu kuanzishwa kwa shule hiyo 2021.
Akizungumza mbele ya walimu na wanafunzi, mkuu wa shule hiyo ya wasichana MARIAM MPUNGA amesema matokeo ya wanafunzi hao yameibua furaha kubwa hivyo akiwa kama mkuu wa shule ameona ipo haja ya kuwazawadia fedha kutoka kwenye mishahara yake ili kuwapongeza lakini pia ni sehemu ya motisha kwakua matumaini yake ni kuendelea kuifanya JOKATE kuwa miongoni mwa shule bora nchini.
Mwenyekiti wa bodi ya shule ya wasichana JOKATE MWEGELO amesema motisha iliyotolewa na mkuu huyo inaunga mkono jitihada kubwa inayofanywa na walimu shuleni hapo ya kuhakikisha maono ya uanzishwaji wa shule hiyo yenye lengho la kutokomeza zero yanafikiwa.
Baadhi ya walimu walimu ambao masomo yao yamefanya vyema katika mitihani yam waka 2024 wakatoa neno huku wakiendela kutoa ahadi ya kufanya vyema hata katika mitihani ijayo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: