SHULE ILIYOIBUKA YA KWANZA KITAIFA YATOA MOTISHA"WANAFUNZI KUSOMA BURE "
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-01-10
Просмотров: 17821
Описание: Kupitia motokeo yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani Taifa,Shule ya Kemebos imeibuka namba moja kwa ngazi zote darasa la nne,kidato cha pili na Kidato cha nne baada ya matokeo hayo Uongozi wa Shule umeongea na Ayo Tv na kueleza Motisha watakayotoa kwa wanafunzi wao
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: