VILIO MAHAKAMANI LISSU AKIDAI KUNYIMWA CHAKULA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 251
Описание:
#HABARI: Vilio na simanzi vimetawala katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Tundu Lissu, anayekabiliwa na tuhuma za uhaini, kuwasilisha malalamiko mazito dhidi ya Jeshi la Magereza.
Lissu aliiambia Mahakama kuwa amekuwa akinyimwa chakula kwa makusudi, hali iliyozua majonzi makubwa miongoni mwa watu waliohudhuria shauri hilo mahakamani hapo leo.
Mwanasiasa huyo alifafanua kuwa, licha ya askari magereza kuwa na fedha zake kwa ajili ya ununuzi wa chakula, wamekaidi kumpatia huduma hiyo muhimu ya kibinadamu.
Tukio hilo limeibua hisia kali ndani ya chumba cha mahakama, huku kukiwa na shinikizo la kutaka haki za msingi za mtuhumiwa huyo ziheshimiwe wakati mchakato wa kisheria ukiendelea.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: