KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WAFAMASIA TANZANIA AKIZUNGUMZIA MKUTANO WAO MKUU ULIOFANYIKA ARUSHA
Автор: PDK Generation
Загружено: 2025-06-07
Просмотров: 231
Описание:
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WAFAMASIA TANZANIA AKIZUNGUMZIA MKUTANO WAO MKUU ULIOFANYIKA ARUSHA
Katibu mkuu wa Chama cha Wafamasia Tanzania Mfamasia Benson Katundu amezungumza na kueleza kwa undani mambo kadhaa ikiwemo sababu hasa ya kufana kwa mkutano wao mkuu uliofanyika Arusha na kuhudhiriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dr. Philip Isdor Mpango na Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda
Pamoja na mambo mengine, katibu mkuu amewarai wafamasia na wadau kwa ujumla kushiriki kwenye mikutano hii ya kitaaluma na kwamba kwa mwakani chama cha wafamasia kitafanya mkutano mkubwa zaidi ya huu wa mwaka huu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: