MTAMBO WA MGODI WAPARAMIA NYUMBA , WAJERUHI WATU
Автор: Storm FM Geita
Загружено: 2025-04-03
Просмотров: 234
Описание: Watu watano kutoka katika kaya tatu zilizopo kitongoji cha Isingilo, kata ya Lwamgasa mkoani Geita wamejeruhiwa vibaya baada ya mtambo unaotumika katika uchimbaji wa madini katika mgodi wa dhahabu wa Buckreef kugonga na kuharibu nyumba tatu za wakazi wa kitongoji hicho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: