FINLAND NGUMU WAGENI NJOONI MSOME KAZI TAFUTENI KWINGINE.... Talk 2 Diaspora Season2
Автор: Selie Network
Загружено: 2024-06-26
Просмотров: 1928
Описание: Mwanamuziki nguli kutoka nchini Uganda Ahmed Kakoyi a.k.a Mad Ice ametueleza safari ya maisha yake akitokea barani Africa nchini Uganda, hadi kutua bara la Ulaya nchini Finland ambapo ameishi kwa zaidi ya miaka 15 sasa, Maisha na Muziki kwa upande wake vinaendaje lakini Je, wageni kwenye taifa hilo ni yapi wanayokutana nayo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: