ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

#MANG

Автор: Tamaduni TV

Загружено: 2023-01-05

Просмотров: 32038

Описание: #TraditionalDance
#Nyakyusa
#Wanyakyusa

Mang'oma ni ngoma maarufu ya utamaduni wa Wanyakyusa.

Ngoma hii huchezwa baada ya mavuno ya Mpunga na kipindi ambacho ndizi zinakuwa zimekomaa sana kwaajili ya chakula.

kwa zamani, kila eneo lenye Chifu lilikuwa pia na ngoma yake ambayo inamtindo wake wa upigwaji na uchezwaji, ukiwa unatafsiri yake.

Ngoma hii ya ing'oma huwa na malengo yake ambayo huwa ni Kudumisha umoja, Kuburudisha, Kuelimisha, Kudumisha Mila na Kutoa uwanja wa biashara.

Ngoma hii ili ikamilike huwa na timu tano. Hizi timu huwajibika kwa mtindo wao na kazi yao maalumu ya kuchangiza kwatika kufanikisha kitoa burudani husika.

Ngoma huwa na timu ya Wazee waongoza ngoma, Mpiga ngoma kubwa, Wacheza Stepu na Fimbo, Wapiga ngoma ndogo ndogo, Wapiga vivvuzela, Wacheza step bila fimbo.

Katika michezo hii ya ing'oma ambayo hujumuisha ngoma kadhaa kutoka mahala mbalimbali ambazo zinakuwa zimealikwa kushiriki, huwa pia kunakumtafuta mshindi ambako hufanywa haswa na mashabiki, ambao huwa na jukumu kujua ni ngoma ipi imeongoza katika mwaliko huo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
#MANG

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#NGOMA ya #WANYAKYUSA, Katule - Kibhundugulu BUSOKELO

#NGOMA ya #WANYAKYUSA, Katule - Kibhundugulu BUSOKELO

AMANG'OMA KYELA

AMANG'OMA KYELA

Ilya pisange

Ilya pisange

FIN d'année de joie ❤️🔥

FIN d'année de joie ❤️🔥

LUGOMBO-Ngoma ya Taifa

LUGOMBO-Ngoma ya Taifa

This is a Nyakyusa Dance,hii Ngoma ni balaa tupu

This is a Nyakyusa Dance,hii Ngoma ni balaa tupu

NYIMBO ZA KINYAKYUSA /NYIMBO NA NGOMA ZA KINYAKYUSA KUTOKA TUKUYU MWAKALELI TAZAMA SHANGWE LAO......

NYIMBO ZA KINYAKYUSA /NYIMBO NA NGOMA ZA KINYAKYUSA KUTOKA TUKUYU MWAKALELI TAZAMA SHANGWE LAO......

NGOMA YA KINYAKYUSA: MWAKAMOGO SALUTE

NGOMA YA KINYAKYUSA: MWAKAMOGO SALUTE

Madaha ya ngoma ya Kinyakyusa (Ndingala) Wilayani Rungwe Mbeya-Tanzania

Madaha ya ngoma ya Kinyakyusa (Ndingala) Wilayani Rungwe Mbeya-Tanzania

Ing'oma ( Ngoma ya asili ya kinyakyusa)

Ing'oma ( Ngoma ya asili ya kinyakyusa) "Ntapisi"

Mbangamojo Ngoma Ya Asili Iliyoacha Gumzo Kwa Style Za Mayele Tamasha la Mpalano

Mbangamojo Ngoma Ya Asili Iliyoacha Gumzo Kwa Style Za Mayele Tamasha la Mpalano

#MAGHOSI Mpandapanda

#MAGHOSI Mpandapanda "Nyakyusa Tradition Dance"

Ling'oma ya kinyakyusa/Ngoma asili kutoka MBEYA TANZANIA

Ling'oma ya kinyakyusa/Ngoma asili kutoka MBEYA TANZANIA

#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - LUGOMBO #Kyela WAKIWA DAR ESS SALAAM

#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - LUGOMBO #Kyela WAKIWA DAR ESS SALAAM

AFRICAN TRADITIONAL DANCE #SAMBA MISUKULE

AFRICAN TRADITIONAL DANCE #SAMBA MISUKULE "Mpunguti" #TANZANIA

NYIMBO ZA KINYAKYUSA: TAZAMA SHANGWE LA NGOMA ZA KINYAKYUSA KUTOKA MASEBE ||  BOMA MASYAKA

NYIMBO ZA KINYAKYUSA: TAZAMA SHANGWE LA NGOMA ZA KINYAKYUSA KUTOKA MASEBE || BOMA MASYAKA

Tazama #Ngoma za #asili #TUKUYU, #Wanyakyusa Wakicheza kwa #Mbwembwe

Tazama #Ngoma za #asili #TUKUYU, #Wanyakyusa Wakicheza kwa #Mbwembwe

Magosi traditional dance from nyakyusa mbeya

Magosi traditional dance from nyakyusa mbeya

KIKUNDI CHA NGOMA TOKA KYELA CHAWASHA MOTO KWENYE JUKWAA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2023

KIKUNDI CHA NGOMA TOKA KYELA CHAWASHA MOTO KWENYE JUKWAA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2023

NGOMA YA KINYAKYUSA ISESELO   KISIBA MBEYA TANZANIA

NGOMA YA KINYAKYUSA ISESELO KISIBA MBEYA TANZANIA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]