Ling'oma ya kinyakyusa/Ngoma asili kutoka MBEYA TANZANIA
Автор: OBO SIX MEDIA
Загружено: 2025-05-23
Просмотров: 8112
Описание:
Karibu ufurahie ngoma ya Ling'oma(Ndandalo ngoma ya mjini) kutoka kwa WANYAKYUSA wilaya ya kyela kijiji cha Ndadalo mkoa wa MBEYA.
Ngoma hii huchezwa katika kipindi cha mavuno,sherehe,ugeni maalum kama viongozi,harusi ikiashiria furaha ,upendo,mshikamano na nguvu ya jamii.
Tunathamini utamaduni wetu wa Kiafrika na kupitia channel hii tunauenzi na kuusambaza kwa dunia nzima
*SUBSCRIBE* ili uendelee kuona zaidi kutoka kila pembe ya Tanzania na Afrika
#NgomaZaAsili
#KinyakyusaCulture
#OBOSIXMEDIA
#TanzaniaDance
#MbeyaVibes
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: