Majeruhi mauaji ya watanzania 9 Msumbiji wafunguka. Siro azungumza Mtwara
Автор: MTWARA RS
Загружено: 2019-06-28
Просмотров: 256335
Описание: Wajeruhi wa tukio la mauaji ya watanzania 9 yaliyotokea katika kijiji cha Mtole Msumbiji Juni 26, 2019 wameomba serikali kuhakikisha inawakamata wauaji hao. Mauaji hayo yalitokea wakati watanzania hao kutoka kijiji cha Kihamba upande wa Mtwara wakiwa kijijini hapo kwa shughuli za kilimo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: