Mama Kabendera aagwa, ujumbe wa Erick wasomwa kanisani
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-01-03
Просмотров: 1932
Описание:
Ujumbe maalum wa Erick Kabendera kwa waombolezaji wa msiba wa mama yake umesomwa mbele ya waombolezaji wakati wa misa ya kumuombea marehemu mama yake wakati akiagwa jijini Dar es Salaam.
Kwenye ujumbe huko Kabendera ameonesha kusikitishwa kwa kukosa kumzika mamaake kwakuwa kifo hutokea mara moja na maziko hutokea mara moja.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: