Hekaheka ya mwizi aliyeingia kuiba na kulala hapohapo kwenye Nyumba aliyoiba
Автор: Geah Habibu
Загружено: 2017-04-20
Просмотров: 7379
Описание:
Hekaheka hii imetokea maeneo ya Buguruni jijini Dar es salaam ambapo huko bwana inadaiwa kuna mwizi alingia kuiba kwenye nyumba ya watu.Baada ya kuiba mwizi huyo alijikuta anashindwa kuondoka mahali hapo na kujikuta amepitiwa na usingizi hadi asubuhi wenye nyumba wanamkuta mtu kalala huku milango yao ikiwa imefungwa.
Kabla ya tukio hilo wenye Nyumba hiyo wanadai tayari walishaibiwa kipindi cha nyumba na hivyo ndipo ikapelekea wahangaike ili kuweza kupata suluhu ya kuwakamata wezi...
Sikiliza mwenyewe kisa kizima kisha uje unipe maoni yako kuhusiana na hekaheka hii
-Video Upload powered by https://www.TunesToTube.com
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: