RUANGWA WAZINDUA RASMI ZOEZI LA UPANDAJI MITI KIWILAYA KATIKA SHULE MPYA YA AWALI NA MSINGI KITANDI
Автор: RUANGWA DC
Загружено: 2026-02-10
Просмотров: 43
Описание: ongozi wa Wilaya ya Ruangwa leo, tarehe 6 Februari 2026, umezindua rasmi zoezi la upandaji miti katika eneo la Shule mpya ya Awali na Msingi iliyopo Kitandi Sekondari, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha utunzaji wa mazingira na kuweka mazingira bora ya kujifunzia kwa wanafunzi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: