RUVUMA YAJIPANGA KUENDELEZA KILIMO CHENYE TIJA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 14
Описание:
RUVUMA YAJIPANGA KUENDELEZA KILIMO CHENYE TIJA
Mkoa wa Ruvuma umejipanga kuendeleza kilimo cha kibiashara chenye tija, ambapo mazao ya kipaumbele ni kahawa, korosho, ufuta, soya, mbaazi, parachichi, tangawizi, mahindi pamoja na mazao mengine ya nafaka.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Jumanne Mwankhoo, amesema hayo wakati akifungua mafunzo kuhusu miongozo ya uzalishaji endelevu wa mazao ya ufuta na mikunde kwa wataalamu wa kilimo wa mkoa. Mafunzo hayo yametolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) katika ukumbi wa Chandamali mjini Songea.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: