SMART TALK: Rubani hurushaje ndege? CHANZO Ajali ya Ethiopia Airlines, Black Box ni nini? Na MENGINE
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2019-06-18
Просмотров: 36557
Описание:
Captain Brian Wamala ana jibu maswali mengine yanayoulizwa sana kuhusu rubani wa ndege na kazi yao. Ameelezea mengi kuanzia rubani anavyotambua njia za kuelekea nchi fulani, nini kigumu kati ya kupaa na kutua, chakula wanachokula marubani, ajali ya Ethiopia Airlines, kazi ya Black Box baada ya ajali ya ndege na mengine
Unaweza pia Kusubscribe kwenye channel ya Youtube ya Brian kujionea awapo angani: / @adventureswithbrian
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: