DIWANI WA MSANGAMKUU MTWARA DC MAHAMOUD SINANI ASHUSHA TREKTA MBILI KUINUA KILIMO KWENYE KATA YAKE
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 787
Описание:
Diwani wa Kata ya Msangamkuu Halmashauri ya wilaya ya Mtwara Mhe. Mahamoud Sinani, amewapelekea Wananchi wake hasa Wakulima Trekta mbili kwa lengo la kukuza sekta ya Kilimo huku tayari Trekta hizo zikiwa zimeanza kufanya kazi katika bonde linalotumiwa kwa Kilimo cha Mpunga,
Akiongea na Faida Online TV, Mhe Sinani amesema Wakulima hao watalazimika kulipa kiasi kidogo huku yeye akilipa kiasi kingine ili kurahisisha huduma za Trekta hizo.
Hata hivyo mpango wake ni kupeleka Trekta Nne katika Kata hiyo ambapo itasaidia kuleta Mapinduzi makubwa ya Kilimo Msangamkuu.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: