Mbunge Jumaa Aweso katusogezea changamoto kubwa iliyowaondoa wabunge wawili Pangani Tanga
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-08-09
Просмотров: 4579
Описание: Inawezekana suala la miundombinu ya barabara katika baadhi ya maeneo ikawa ni tatizo kubwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini, sio ajabu leo mbunge wa pangani-Tanga Jumaa Aweso anaposema anatamani hata fungu lake la mshahara lingetosha angelimaliza kabisa tatizo la barabara ya Tanga, pangani, sadani kwakuwa ni tatizo ambalo limesababisha hata wabunge waliomtangulia kupigwa chini kwa sababu ya tatizo hilo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: