Waziri wa maji, Mh Juma Aweso awakumbusha watumishi wizarani kufanya kazi kwa ushirikiano
Автор: Dodoma City TV
Загружено: 2021-07-08
Просмотров: 90
Описание:
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dodoma na Waziri wa Wizara hiyo, Mh Juma Aweso wakati akifungua kikazo kazi cha Watendaji wa Wizara ya Maji na Taasisi zake katika kada ya ,Ugavi,Manunuzi, Wahasibu na Wakaguzi wa ndani ,ambapo amewataka kuwa na matumizi mazuri ya fedha katika utekelezaji wa miradi hiyo na hayuko tayari kumvumilia yeyote atakaye kwamisha miradi hiyo.
Naye Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Nadhifa Kemikimba eamesema Serikali inajukumu la kuhakikisha kuwa pato la Taifa linaongezeka ili kukuza uchumi .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: