PART 1: SHARTI ZA KUSIHI SWAUM | SHEIKH AHMAD ALI KARISA
Автор: Masjid Taqwa Mnarani
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 24
Описание:
Katika muhadhara huu, Sheikh Ahmad Ali Karisa anaeleza kwa kina Sharti za Kusihi Swaum kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah. Utajifunza masharti muhimu yanayofanya swaumu iwe sahihi, ikiwa ni pamoja na nia, Uislamu, akili timamu, kubaleghe, na hali zinazoweza kuzuia kusihi kwa swaumu.
Mafundisho haya yanategemea dalili kutoka katika Qur'an na Sunnah za Muhammad ﷺ, kwa ufafanuzi rahisi na wa kueleweka kwa kila Muislamu.
🎯 Tazama, jifunze, na ushiriki ili wengine wanufaike.
🔔 Subscribe kwa mafundisho zaidi ya Dini.
📌 Share na ndugu na marafiki zako.
#Swaum #Ramadhani #Fiqh
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: