Mbunge Mgore wa Musoma AIBUA SHANGWE BUNGENI KWA HOJA NZITO!
Автор: BUNGE NEWS
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 877
Описание:
MBUNGE wa Jimbo la Musoma Mjini (CCM), Mhe. Mgore Miraji Kigera amezua shangwe Bungeni kwa kutoa hotuba yenye hoja nzito akieleza mambo mengi makubwa yanayoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ikiwemo uboreshaji wa uwanja wa ndege wa Manispaa ya Musoma.
Mhe. Kigera ameibua shangwe hizo jioni hii Bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia Hotuba ya Rais Dkt. Samia, aliyoitoa wakati wa uzinduzi rasmi wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Novemba 14, 2025.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: