KANGI LUGOLA 'Ajilipua Bungeni' "HAPANA HIYO/ SERIKALI ISIFUNIKE KOMBE"
Автор: BUNGE NEWS
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 5607
Описание:
MBUNGE wa Jimbo la Mwibara mkoani Mara na Waziri mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Tano, Kangi Alphaxad Ndege Lugola ameshauri muhimuli wa Mahakama unapaswa kuwa huru katika kutimiza wajibu na majukumu yake, ili kutenda haki kwa watuhumiwa.
Lugola ameyasema hayo mapema leo Bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia hotuba ya Rais.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: