SERIKALI YATOA ZAIDI YA BILION 48 KWAAJILI YA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Автор: SKY TV
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 20
Описание:
Serikali imeanza mpango wa utekelezaji wa bima ya afya kwa wote kwa makundi maalumu ambapo kaya zaidi ya laki mbili zimetengwa kwaajili ya majaribio kwa lengo la kuendelea kuimarisha mifumo ambapo zaidi ya bilion 48 zimetolewa.
Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa afya Dkt Florence Samizi kwenye ziara ya kikazi alipotembelea hosptila ya Rufaa Kanda ya Mbeya (MZRH), ambapo amesema mifumo hiyo itawasaidia kudhibiti uhalifu unaofanywa kupitia bima ya afya
@upendokibetile
#skytv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: