TAKUKURU TEMEKE YAOKOA SH BILIONI 2.6 ZA NSSF
Автор: SKY TV
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 21
Описание:
Zaidi ya Sh bilioni 2.6 zimeokolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) fedha ambazo zimekusanywa kutoka kwa waajiri mbalimbali wa sekta binafsi waliokuwa wakidaiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Akizungumza na vyombo vya habari wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2025, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Temeke, Ismail Bukuku, amesema waajiri hao walikuwa hawawasilishi michango yao na kuathiri utekelezaji wa majukumu ya mfuko huo
#skytv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: