Akutwa na shehena ya madini, mashine ya kuchenjulia nyumbani kwake
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-07-12
Просмотров: 16994
Описание:
Mkazi wa Wilaya ya Gairo, Juvenary Jeremiah Mnene amekamatwa na madini aina ya Rodlight akiwa kayahifadhi nyumbani kwake kinyume na taratibu za madini huku akikutwa pia na mashine ya kuchenjulia madini hayo katika makazi yake.
Powered by #AfricanFruti from Bakhresa Group of Companies
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: