Uchambuzi wa goli Depu | TZ Prisons 0-1 Yanga SC | NBC PL 12/03/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 6348
Описание:
Laurindo Dilson Maria Aurelio ‘Depu’ amefunga goli pekee na la ushindi kwa Yanga ikiichapa Tanzania Prisons bao 1-0 ugenini kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.
Huu ni uchambuzi kuhusu goli hilo na mchezo mzima ulivyokuwa, maoni yakitoka kwa wachambuzi Ramadhan Mbwaduke na Amri Kiemba chini ya usimamizi wa Patrick Nyembera.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: